Kikosi cha wachezaji 23 kitakachoshiriki fainali za AFCON 2019 zinazoanza wiki ijayo huko Misri kimefahamika
Kocha wa Stars Emmanuel Amunike amefanya mchujo wa kuchagua wachezaji 23 kutoka kikosi cha wachezaji 32 kilichoweka kambi Misri
Aishi Manula, John Bocco, Mohammed Hussein na John Bocco ni miongoni mwa wachezaji waliojumuishwa kwenye kikosi hicho ambacho kesho kitacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Misri
from sokoa news http://bit.ly/2WI0Bws
1

0 Comments