Mwili wa mtu asiyejulikana umepatikana nyumbani kwa kiungo wa kati wa Arsenal Mohamed Elneny nchini Misri.
Babake Elneny, Nasser, aliupata mwili huo wakati alipotembelea nyumba hiyo mjini Mahalla al-Kubra, ambayo iko takriban kilomita 100 kaskazini mwa Cairo.
Kisa hicho kiliripotiwa kwa polisi, ambao wanasema mtu huyo alikuwa akijaribu kuiba nyaya za umeme.
from sokoa news https://ift.tt/2Yf4x8H
1
0 Comments