Azam FC na KMC kuanza kuchanga karata leo michuano ya Kagame

Wawakilishi wa Tanzania leo watakua kazini kupeperusha bendere kwenye michuano ya Kagame inayofanyika nchini Rwanda.

KMC watakuwa wa kwanza kurusha kete yao leo majira ya saa 7:00 mchana watamenyana na Atlabara, huu pia ni mchezo wa kwanza kwa kocha mpya Jackson Mayanja.

Azam FC ambao ni mabingwa watetezi watarusha kete yao  majira ya saa 9:00 alasiri watamenyana na Mukura, huu utakuwa ni mchezo wa kwanza kwa kocha wao mpya Ettiene Ndayiragije.


from sokoa news https://ift.tt/2FXp1I0
1

Post a Comment

0 Comments