Azim Dewji na waandishi watatu wanusurika ajalini


Mfanyabiashara Azim Dewji na waandishi watatu wa vituo vya televisheni vya ITV, Chanel Ten na Azam TV wamenusurika kifo leo Julai 27, majira ya asubuhi baada ya gari lao kuacha njia na kuingia vichakani Kijiji cha Nyaminywili, Rufiji.

Azim Dewji na waandishi hao walikuwa wakitoka katika uzinduzi wa mradi wa umeme mto Rufiji na wote hali zao zinaendelea vizuri.


from sokoa news https://ift.tt/2MhCEFP
1

Post a Comment

0 Comments