MSANII wa vichekesho nchini, Anastasia Exavery maarufu kama Ebitoke amefunguka jinsi alivyokutana na changamoto ambazo zimemfunza hadi kufikia alipo sasa..
Ameongeza pia amekutana na changamoto mbalimbali kama, kugonga mageti ya watu na kuomba kufua nguo, kuuza mama ntilie, kuuza bar ” ukiwa na lengo na kitu hautajaji ulivyo”
The post EXCLUSIVE: EBITOKE Amwaga MACHOZI – “Niliposwa, Sikuolewa” – VIDEO appeared first on Global Publishers.
from sokoa news https://ift.tt/2OjmL4f
1

0 Comments