Chuo kikuu cha Havard kilichopo Marekani, kimefuta nafasi kilichokuwa kimetenga kwa ajili ya wanafunzi kutoka katika taasisi ya mwana mfalme wa Saudia mrithi wa kiti Muhammed bin Salman (MBS).
Kwa mujibu wa habari kutoka katika tovuti ya habari ya Harvard Crimson, msemaji wa chuo hicho Jonathan L. Swain amenukuliwa akisema nafasi 100 zilizotengwa kwa ajili ya wanafunzi kutoka katika taasisi ya misaada ya mwana mfalme, MBS, ijulikanayo kama MiSK zimefutwa. Wanafunzi hao walikuwa wajiunge na chuo hicho katika msimu wa majira ya joto.
Sababu za kufutwa kwa nafasi hizo hazikutajwa.
from sokoa news https://ift.tt/2YJ2Wo4
1


0 Comments