Idadi ya vifo kutoka na kuanguka kwa ukuta Jumatatu usiku katika mji mkuu wa kifedha wa India Mumbai imeongezeka hadi kufikia 27, kulingana na Kiini cha Usimamizi wa Maafa ya Shirika la Manispaa la Brihanmumbai.
Kati ya watu waliokolewa, 71 walijeruhiwa na wanapata matibabu katika hospitali nne za kiraia, na 23 wameruhusiwa kwenda nyumbani, wasimamizi wa Maafa walieleza hayo.
from sokoa news https://ift.tt/2XMiB8C
1
0 Comments