Simba Queens yainyuka St. Pauli ya Ujerumani

Simba Queens ikiwa nchini Ujerumani imecheza mchezo mwingine wa kirafiki dhidi ya St. Pauli na kuibuka na ushindi wa magoli 2-1.


from sokoa news https://ift.tt/32O7gEK
1

Post a Comment

0 Comments