PICHA: Watu zaidi ya 100 waokolewa baada ya treni kuzingirwa na mafuriko

Watu zaidi ya 1000 wameokolewa kutoka katika treni iliyozingirwa na mafuriko nje kidogo ya mji wa Mumbai nchini India.

Helkopta, Boti pamoja na vikosi vya wanamaji vimetumika katika uokoaji huo.






from sokoa news https://ift.tt/2K9GAFY
1

Post a Comment

0 Comments