Everton yamfukuzia mshambuliaji huyu wa Juventus

Klabu ya Everton ipo kwenye mazungumzo na klabu ya Juventus kumsajili mshambuliaji wa klabu hiyo ya Italia Moise Kean.

Kean ambaye ana miaka 19 inasemekana ana thamani ya kiasi cha  €40M (£36M) na klabu hiyo ya Juventus inataka kipengele cha kumnunua tena kijumuishwe kwenye dili hilo.


from sokoa news https://ift.tt/32XKaeO
1

Post a Comment

0 Comments