VIDEO! MASKINI! hujafa hujaumbika, uvimbe wazima ndoto za binti aomba msaada


Neema ,19, mkazi wa kijiji cha Erri Wilaya ya Babati, anaumwa anasumbuliwa na uvimbe kwenye mkono wake wa kulia unaoendelea kuongezeka kila siku.

Neema anayeishi na mama yake, Greater Raphael baada ya baba yake mzazi kufariki, amekuwa na wa huzuni kila kukicha kutokana na maumivu anayoyapata kwenye mkono wake huku ukimlemea kutokana na nyama zilizoning'inia.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE




from sokoa news https://ift.tt/2K0hv1p
1

Post a Comment

0 Comments