VIDEO: Wanaokula njama kumhujumu Magufuli wapigwa nyundo na Mpina


MBUNGE wa Jimbo la Kisesa (CCM) Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu, Luhaga Mpina amewashukia baadhi ya watu waliowahi kupewa nyadhifa za juu serikalini na kwenye Chama cha Mapinduzi kuendesha mikakati na kula njama za kutaka kumuondoa Rais Dk. John Pombe Magufuli kwenye ajenda kuu ya kuwahudumia wananchi na kutaka taifa lijadili mambo ya watu binafsi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI ....USIKOSE KU-SUBSCRIBE




from sokoa news https://ift.tt/2O9Uf5d
1

Post a Comment

0 Comments