 |
| Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akizungumza na waombolezaji wakati alipowaongoza katika Ibada na kuaga mwili wa mtumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Richard Kalinga, nyumbani kwa marehemu jijini Dodoma |
 |
| Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama akitoa pole kwa familia ya mtumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Marehemu Richard Kalinga, baada ya kuwaongoza waombolezaji katika Ibada ya kumwombea marehemu na kutoa heshima za mwisho |
from sokoa news https://ift.tt/2LBao1A
1
0 Comments