Basi la kampuni ya Hood lenye namba T 779 AVL lililokuwa likitokea mkoani Arusha kuelekea Mbeya limepata ajali katika kijiji cha Uchira wilayani Moshi.
Ajali hiyo imetokea majira ya saa 1:30 asubuhi na abiria wote wako salama.
from sokoa news https://ift.tt/336RpRP
1



0 Comments