LEO Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na Vodacom inaendelea ambapo mechi mbili zitachezwa kwa timu nne kushuka uwanjani kama ifuatavyo:-
Mwadui v Singida United, uwanja wa Mwadui.
Lipuli v Mtibwa Sugar uwanja wa Samora.
Mechi zote zinapigwa saa 10:00 jioni.
from sokoa news https://ift.tt/2HlCoSY
1


0 Comments