Mbwana Samatta ailaza timu ya Anderlecht ya Vincent Kompany

Mabingwa wa ligi ya Ubelgiji Genk waliilaza timu inayoongozwa na mchezaji wa zamani wa Manchester City Vincent Kompany - Anderlecht 1-0 katika siku ya tano ya ligi hiyo ya Jupiler Pro.


from sokoa news https://ift.tt/30yJ6fQ
1

Post a Comment

0 Comments