Buswita aibukia Polisi Tanzania




Kiungo mshambuliaji wa zamani wa Yanga na Mbao Fc Pius Buswita amejiunga na Polisi Tanzania

Buswita ataanza kuitumikia timu hiyo baada ya usajili wa dirisha dogo kufunguliwa Disemba 16

Amesajiliwa akiwa mchezaji huru baada ya mkataba wake na Yanga kumalizika msimu uliopita

Ni miongoni mwa wachezaji ambao hawakuongezewa mikataba katika usajili wa aliyekuwa kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera

Katika kipindi cha miezi sita Buswita hakuwa na timu



Kwa habari zaidi Download App ya SOKA KIGANJANI  kutoka Play Store


from sokoa news https://ift.tt/33wFlbJ
1

Post a Comment

0 Comments