Baada ya mapumziko ya siku tatu, kikosi cha Yanga leo kimerejea mazoezini uwanja wa Chuo cha Polisi Kurasini jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Alliance Fc
Mchezo huo utapigwa Ijumaa Novemba 29 kwenye uwanja wa CCM Kirumba
from sokoa news https://ift.tt/33lFrCG
1

0 Comments