Tetesi za soka Ulaya Ulaya Jumamosi tarehe 12.12.2020: Hudson-Odoi, Haaland, Szoboszlai, Messi, Grealish, Wijnaldum

Bayern Munich hawatamfukuzia winga wa Chelsea Callum Hudson-Odoi katika kipindi cha dirisha la uhamisho mwezi Januari , lakini timu hiyo inaendelea kumumfuatilia Muingereza huyo mwenye umri wa miaka 20 kwa lengo la kumnunua(Goal)


from sokoa news https://ift.tt/2JV6QYw
1

Post a Comment

0 Comments