Timu ya taifa ya Uganda imeibuka na ushindi wa mashindano ya CECAFA kwa vijana walio chini ya umri wa miaka 17 yaliyomalizika mjini Rubavu magaharibi mwa Rwanda kwa kuwachapa Serengeti Boys ya Tanzania mabao 3-1.
from sokoa news https://ift.tt/3aB0vfV
1

0 Comments