Watu 15 wafariki katika shambulizi lililolenga kijiji cha Pissila nchini Burkina Faso.
Watu waliokuwa na silha wameshambulizi kijiji cha Pissili Kaskazini mwa Burkşna Faso na kupelekea vifov ya watu 15.
Kulingana na taarifa zilizotolewa na vyombo vya habari nchini Burkina Faso, kundi la watu 20 lilivamia kijiji hicho na kuanza kufyatua risasi na kupelekea vifo vya watu 15.
Wahalifu hao ambao hadi sasa bado hawajajulikana baada ya kufanya mauaji hao wamechoma moto maduka na majumba kadhaa.
Katika miaka minne ya nyuma, watu zaidi ya 500 wameuawa na mashambulizi ya kşgaidi Kaskazini mwa Burkşna Faso na maeneo mengine ya mipakani na Togo na Benin.
from sokoa news https://ift.tt/2K7Walx
1


0 Comments