Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 21.12.2020: Bissouma, Giroud, Salah, Mbappe, Alaba

Manchester United ina hamu ya kumsajili mchezaji anayelengwa na Arsenal pamoja na liverpool Yves Bissouma, mchezaji wa klabu ya Brighton na raia wa Malian mwenye umri wa miaka 24 ambaye ameonesha mchezo mzuri msimu huu. (Express)


from sokoa news https://ift.tt/38CQQTF
1

Post a Comment

0 Comments